|
Wastara Juma akiwa na Bond
MSANII mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Wastara Juma ameapa kumfikisha mtu kwa Pilato ili asulubiwe kwa kuchokonoa maisha yake na mwandani wake mpya Bond huku wakiyahusisha mahaba niue yao na marehemu mumewe Sajuki.Alikwenda mbele na kusema baada ya mume wake kufariki wambeya hao walitegemea aishi vipi wakati naye ni binadamu na anahitaji….?????? |
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment