Featured

    Featured Posts

MIMBA YA WEMA SEPETU YAZUA GUMZO MTANDAONI...FATILIA HAPA

Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasamabaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti huku wote sura zao zikiwa hazionekani.
Moja kati ya akaunti kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema, inayokwenda kwa jina la WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na kuandika mameno “NITOBOEEE
” kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.
Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema ameambiwa asitoboe. Akaunti hii ndio ilikuwa ya kwanza kutoa picha za Wema akiwa na mpenzi wake mpya Ommy Dimpoz.
Comments za mashabiki ndio zilizoshtua watu kwani karibu watu wote walikuwa wakifurahia na kupongeza ‘Madame’kwa kupata katumbo na wengine wakilalamika kuwa kitaanza kumuhalibia magauni MISS wao.
Swali je kama ni kweli, nani atakuwa muhusika wa ujauzito huo?...
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana