Leo city centre, Said akimueleza Mhe.Jerry Silaa anavyoendesha maisha. Amempa habari ya Lindi vijijini na mtizamo wake wa kisiasa.Pia alinunua maji chupa moja toka kwa muuzaji huyo na kuanza kuyanywa huku wakitembea bila kujua aliyemuuzia maji ni meya wa manispaa hiyo ya Ilala.
Mpaka wanaachana hakufahamu alikuwa anazungumza na aliyeagiza wauza maji na matunda wasibugudhiwe......
Maisha popote.
Mpaka wanaachana hakufahamu alikuwa anazungumza na aliyeagiza wauza maji na matunda wasibugudhiwe......
Maisha popote.
Hapa meya Jerry Silaa akiwasikiliza waendesha boda boda wa katikati ya jiji wakimweleza juu ya kukosa uongozi thabiti wa kuwasimamia kama wafanyabiashara wanaotoa mchango katika ukuaji uchumi wa nchi.
Post a Comment