Filed Under:
TANZIA
on
Saturday, 28 February 2015Unknown
Makazi ya marehemu John Komba, Mbezi Tangi Bovu jijini Dar
...waombolezaji wakilia kwa uchungu nyumbani kwa marehemu
...masikitiko na kilio kwa mjane wa marehemu, Bi. Salome KombaWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akimfariji mke wa marehemu, Salome komba
....ni kilio na huzuni kubwa kwa Malkia wa Tarabu Khadija Kopa, ambaye alikuwa chini ya Komba katika kikundi cha taarabu cha TOT
Wabunge wa Chadema, Joseph Mbilinyi 'Sugu' (kushoto) na Godbless Lema (kulia) wakizungumza na Mhe. William Lukuvi msibani
Mtoto wa marehemu Kapteni John Komba (katikati) akitolewa ndani kutokana na matatizo aliyonayo ya moyo.
Ndugu wa marehemu Kapteni John Komba wakilia kwa uchungu.
Post a Comment