Featured

    Featured Posts

KAJALA: MAVAZI YA MAMA HAYA HALIBU TABIA YA MTOTO!!


"Naomba niwaulize binadamu alie kwambia mimi nikivaa hivi nitamuhalibu mtoto nani ? acheni akili za kijinga kwasababu wengi wetu tunajua kabisa mtoto hawi na tabia mbaya kwasababu anamuona mama yake kavaa dira au tumbo wazi sisi zamani wazazi wetu walikuwa wanavaa hivi lakini mbona tuliwasumbua mnaboa na kukera pia kama mtoto wangu atahalibika kisa kaniona mimi nimevaa tumbo wazi utakuwa ni umbumbu wake na ujinga wake lakini sidhani kama mavazi yanamualibu mtoto naisi nimalezi peke yake kama nakuboa usipite hapa tafadhali".

-Kajala aliandika na kutupia picha hizo juu mtandaoni.

Mjadala ukapamba moto kwa watu kupupia comments za kuunga mkono hoja huku wengine wakipinga huku wale wenzangu namini tukimsifia kwa njinsi alivyopendeza.

Wewe je sijui utakuwa upandegani, hoja imeshatolewa hapo juu

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana