Featured

    Featured Posts

GARI LAND ROVER YA MWAKA 1976 ALIYOKUWA AKITUMIA BOB MARLEY YAFUFULIWA UPYAA, IPO HAPA IANGALIE

Hivi ndio mwonekano wa Land Rover aliyokua akiitumia Bob Marley ilivyokua ikionekana kwenye makumbusho ya masanii huyo nchini Jamaica.

Mwonekano wa ndani\Land Rover hiyo inavyoonekana kwa sasa baada ya kufamyiwa matengenezo upya na kampuni ya Land Rover ya Jamaica kwa ushirikiano na familia ya Bob Marley ambaye kama angekua hai angekua amefikisha miaka 70 Februari 7 mwaka huu.
Mwanekano mpya wa gari hiyo
Pamoja na mwonekano mpya pia gari hiyo linaendesha kama jipya.

Mwonekano wa Ndani
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana