Featured

    Featured Posts

CHUCHU HANS AMNG'ANG'ANIA RAY KIGOSI KAMA LUBA..

Mrembo na Mwigizaji Chuchu Hans Amefunguka mengi kuhusu mahusiano yake na Vicent Kigosi aka Ray Kwenye Kipindi cha Take One cha Zamaradi Clouds TV ..Kati aliyofunguka ni Haya Hapa Chini:
Kwanza Amesema yeye na Ray Bado ni wapenzi Japo kuna tetesi kuwa Wameachana Kimya Kimya
Pili Amejitoa fahamu na kusema kuwa JOHARI hakuwahi kuwa Mpenzi wa RAY yeye anachojua walikuwa washiriki wa Biashara tu katika Kampuni ya JR....
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana