Featured

    Featured Posts

BATULI ASIFIA ‘JICHO’ASEMA LINAONGEA ZAIDI YA SAUTI YAKE

Urembo: Ni kweli macho ya naonge lakini hili la mwigizaji Batuli linaongea zaidi. Haya sio maneno yangu ni bali ni maneno yake mwenyewe alioyaandika kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa amerembua.


“Look into my eyes and hear what I'm not saying, for my
eyes speak louder than my voice ever will.....”
Haya jamani wale mliosoma English Mediam, hebu malizieni hizo deshidesh.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana