Featured

    Featured Posts

AMANDA POSH AAWASHUKIA WANAOMPONDA KUWA ANAVAA NGUO FUPI

Mwigizaji wa filamu, Amamnda Poshi awatolea uvivu wanaomponda kwa kuvaa nguo fupi huko Instagram,nahaya ndio maneno yake;
“Instagrameee naipenda sanaaa..naipenda na watu wake nawapenda sanaaa coz ni sehem unayopangiwa uishi vipi,uvae vipi ,ulale wapi,uwe na bwana wa aina gani na ukikaa vibaya utapangiwa mpk chakula cha kutia tumboni tena kwa pesa yako...naomba ieleweke kila mtu anauhuru wake...kwangu me msinipangie mavazi wala jinsi ya kuishi,nikivaa nguo fupi ni me,niwe na miguu mibaya,mapaja mabaya ,sura mbaya haimuhusu mtu manina c mzae wenu mlikuwa mnasubiri mpk mama amandaazae ndio mkosoe mxiuuuuu....kuhusu nguo mtakosoa sana na makelele pigeni ila kuvaa vimini siachi maana hakuna anayenivisha wala kuninunulia...nanunua kwa pesa yng n kama mtu kuvaa nguo fupi anauza basi acheni kupiga kelele maana nauza papuchi yng sijaazima ya mtu.... Niwatakie usiku mwema wote hahahaaaa nawapenda sana”        
Nadhani ujumbe umefika!
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana