Kwa majina anaitwa Yemmi Allade mwana mziki wa kike kutoka huko nchini Nigeria,anayetamba na mziki wake maarufu wa John.Kwa sasa ndiye mwanamziki anayetamba kwa urembo na uzuri sio tu wa sura yake bali pia uzuri wa mziki wake,sasa awapiku Yondo Sista Ivone Chakachaka pamoja na mwanamziki wa zamani wa Kongo Mbilia Beli.
Tazama baadhi ya picha zake hapa chini
Post a Comment