Sahau kuhusu tatoo ya Nuh Mziwanda na mpenzi wake Shilole,Basi tabia hii imeota mizizi kwa wasani wa bongo fleva ya kujichora picha za wapenzi wao au majina yao katika miili yao.Hii imetokeo kwa mwanadada Naima kujichora jina la msanii wa yamoto band anayejulikana kwa jina la Aslay.Tazama picha hiyo hapa chini..
Post a Comment