Wasanii wa Africa walipata nafasi yakutoa burudani katika tuzo hizo za GloCafAwards kama Uhuru Mr lavour Uhuru ,soweto gospel choir na wengineo Lakini Watu Waliguswa na Nyimbo ya diamond mdogo My Number one remix ambayo Plutnmz alionyesha uwezo wakuimba ubeti wa Davido Wote Bila yakufwata Cd Back Play nakufanya vizuri
Post a Comment