Featured

    Featured Posts

P SQUARE KUMZIKA BABA YAO KESHO BAADA YA KUFARIKI MIEZI MIWILI ILIYOPITA

Mzee Moses Okoye na mtoto wake Peter waP Square. Hii ilikuwa siku ya harusi yaPeter.

November 26, 2014 taarifa kubwa kutoka Nigeria ilikuwa ni taarifa ya msiba wa mzeeMoses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, P Square.

Tangu mzee huyo afariki ni miezi miwili sasa, yamepita matukio mengi huenda tukawa tumeanza kusahau tukio hilo, story iliyoko mitandaoni kutoka Nigeria ni kuhusu ndugu pamoja na familia ya mzee huyo kuandaa mazishi yake.

Tarehe ambayo imepangwa kufanyika mazishi hayo ni January 30, ambayo ni kesho siku ya Ijumaa.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana