Featured

    Featured Posts

MTOTO WA KAJALA NI TISHIOKWA UZURI KWA VIBINTI VISTAA VYOTE HAPA BONGO

Paula Kajala
 Nilikuwa napita pita zangu huko Google kutafuta udaku nikakutana na hizi baadhi yapicha za mtoto wa kajala na Producer wa Bongo Flava P Funk , Ki ukweli japo bado ni mtoto sana kwa umri ila ni mzuri wa sura miaka kadhaa ijayo nahuhakika atakuwa moto wa kuotea mbali ....Embu angalia hizo baadhi ya picha uniambia kama na wewe unaona nachoona mimi





 
 
 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana