Huyu ni mtangazaji maarufu sana, Anaitwa Loveness Malinzi aka Divathebawse kama anavojiita. Haishi vituko na mara nyingi amekuwa akijianika uchi kwenye mitandao ya kijamii.Hivi sasa ndo kaamua kuwapa zawadi hii wadau...Kawategea plate number akiwa na nguo ya kulalia
Post a Comment