Mchumba wa siku nyingi wa staa wa Bongo Fleva,
Emanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' , Siwema
Edson'Mama Curtis' amepost picha za mahaba
akiwa kitandani na mzazi mwenzie huyo kupitia
Account yake ya Instagram, Siwezi ambae siku za
nyuma alikuwa Gumzo mitandaoni baada ya Video
yake akivishwa pete na Pedeshee kuvuja , Nay na
Siwezi Hivi Karibuni Wamejipatia Mtoto wa kiume

Post a Comment