Featured

    Featured Posts

LAANA...!!! ANGALIA JINSI MWANAFUNZI WA SEKONDARI ALIVYO VAA


Maadili yanazidi kuporomoka hapa bongo mpaka kufikia hatua madenti wanavaa wanavyojisikia ikiwemo kuvaa vigauni vifupi, na kama hiyo haitoshi siku hizi wanafunzi wa sekondari na haswa Form 2 wanapenda kuacha sehemu kubwa ya maziwa yao wazi... Fanya survey katika shule mbalimbali za mijini utaligundua hili! Ukiwa kama dada/kaka/mzazi/mlezi wafikiri nani alaumiwe katika hili sasa? Mwalimu, mzazi au jamii kwa ujumla?! Tupe jibu lako kwa comment box hapo chini...
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana