Hakuna Make up,360,wala Filter wala weaving...kuna miwani tu tena Ya Buku kadhaa(Nimesahau) Na MINYOOSHO Flani amaizing what do you say abt her, maana tumezoea kumuona mwanadada huyu akiwa amejipaka mamakeup na kujitwisha mawigi tele, haya wadau huu ndo mda wenu wa kumaliza utata, je vp bado analipa? Na je kwa muonekano huo anafaa kweli kulipwa Tsh milion15 kwa kazi ya kuact bongo movie.
Post a Comment