Ni habari njema tena njingine baada ya Msanii Mkali wa Muziki wa kizazi kipya Bongofleva nchini Tanzania Diamond Platnumz, amechaguliwa kuwania tuzo zingine kubwa nchini Nigeria, ambapo yupo kwenye kategori ya msanii wa mwaka akishindanishwa na na mastaa kama Fuse ODG,Uhuru, Saut Sol , Mafkilizo na wengine kutoka Ghana kama Sarkodie na wengine wengi.
Tuzo hizo za tooXclusive awards 2014 zimefunguliwa rasmi na unaweza kumpiga kura msanii yeyote unayemtaka, Ukiwa kama shabiki mtanzania ama mdau wa muziki tunaomba weka vidole vyako busy ili tukhakishe tena Tuzo Inakuja tena Tanzania ili kupandisha soko letu la muziki
Hii ni list ya majina ya wasanii wanao wania tuzo hii
Hii ni list ya majina ya wasanii wanao wania tuzo hii
- Fuse ODG
- Uhuru
- Sauti Sol
- Sarkodie
- Efya
- Cassper Nyovest
- Stanley Enow
- Mi Casa
- Diamond Platnumz
- Mafikizolo
Post a Comment