Aliyekuwa Waziri wa Nishati na madini, Prof. Sospeter Muhongo ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri katika mkutano wake alioitisha leo na waandishi wa habari mapema leo, na moja ya kauli iliyoitoa kwenye mkutano juo ni kuwa yeye ni msafi hausiki katika kashfa ya Escrow.
Akieleza hayo mapema leo pia ametoa nafasi kwa yeyeto mwenye visibitisho amehusika katika kuchota hela za Escrow awasilishe ushahidi wa makaratasi mahakamani na yuko tayari kusiamama kutetea haki yake.
Post a Comment