Featured

    Featured Posts

AMBER ROSE AZIDI KUMWAGA RADHI MTANDAONI...LEO ATUPIA PICHA TATA ZINGINE TENA!

Amber Rose akipozi kwa picha.
Amber akijiachia na maswaiba wake huko Miami nchini Marekani.
Amber Rose akiwa ameachia kinguo chake na kuacha blazia ikiwa wazi.

Amber akiendelea kula bata ufukweni.
Amber akipozi na juisi yake.
Amber akiwa na sigara yake mkononi.
Amber na washikaji zake Miami.
MWANAMITINDO Amber Rose ameamua kutupia picha nyingine zinazoonyesha sehemu ya mwili wake katika mtandao wa Instagram.
Amber ametupia picha hizo jana ikiwa ni siku moja tangu aweke picha zeke nyingine zilizokuwa zikionyesha maungo yake akiwa katika vazi la bikini nyeusi.
Amber mwenye miaka 31, mama wa mtoto mmoja, ametupia picha hizo jana zenye unafuu kidogo kuliko za juzi akiwa katika kivazi cha kijani kikionyesha bikini yake ya kijani pia kwa ndani.
Staa huyo alikuwa katika pozi tofauti wakati akijiachia na marafiki zake kwenye hoteli moja jijini Miami nchini Marekani.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana