Mapenzi urafiki wa Idris Sultan na mrembo wa Afrika Kusini aliyekuwa swahiba wake wa karibu kwenye shindano la Big Brother Africa, Samantha, umefika kwenye hatua ya juu zaidi.
Samantha ambaye bado yupo nchini amepokelewa kwa mikono miwili na familia ya Idris.
“They’ve only been good to me and I can’t say thank you enough. How people can love you this much but only no you a few weeks is beyond me,” ameandika Samantha kwenye picha akiwa na familia ya Idris.
“God bless your beautiful hearts . Thank you ! Thank you ! Thank you.”
Katika picha nyingine akiwa na Idris, mrembo huyo ameandika: And there was light . When you trying to take a selfie and someone else is taking a pic of you.#Lastnight#selfielife#baemuch#thisnigga#love#peace#happiness#godfirst.”
Wakati huo huo Samantha ametumika kama mrembo kwenye kava la wimbo wa Millian, Until Forever Ends.
Post a Comment