Ni kweli Beyonce anajua kumfanya Jay Z awe mtu mwenye raha sasa kama inavyonyesha kwenye baadhi ya picha walizopiga kwenye siku ya kuzaliwa ya Jay Z ‘Dec 4′ . Wawili hawa walikwenda Iceland kujiachia kwa muda huku wakisherehekea miaka 45 ya maisha ya Jay Z
Post a Comment