
Haya ndiyo maisha ya watanzania huko vijijini hakika ni masikitiko makubwa kuona nchi yenye utajri mkubwa bado watu wake wanaishi katika umasikini mkubwa sana
hii ni nyumba ya mtu !!!!! haya yote yanatokana umasikini unaowakabili watanzania huko vijijini

kwa hali hii utasikia viongozi wanasema uchumi unapanda hivi ni kweli?
katika nchi yenye madini na mbuga za wanyama wengi bado watu wake wanaishi katika umasikini huu wa kupindukia yani mshangao sana

Hii ndiyo halisi ya watanzania huko vijijini wanavyoishi kwenye umasikini mkubwa licha ya nchi yetu kuwa tajiri lakini watu wake ni masikini hili fundisho kwenu watanzania ambao mmekuwa mnachagua viongozi kwa mazoea bila kuangalia kiongozi yupi anaweza kutusaidia kuondokana na umasikini huu maana nchi yoyote yenye viongozi mafisadi haiwezi kuendelea kabisa zaidi kuishia kwenye umasikini
Post a Comment