Featured

    Featured Posts

HIVI NDIVYO EDWARD LOWASA ALIVYO WAUDHI na KUWAKASIRISHA WAANDISHI WA HABARI ASUBUHI YA LEO HII

Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo hii Edward Lowassa amewakera waandishi wa habari baada ya kuwaita nyumbani kwake Masaki.
Taarifa iliyotumwa kwa wahariri leo asubuhi ilikuwa inasema: 
Habari za asubuhi wahariri, Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa ana Press Conference
leo Saa 5:00 nyumbani kwake Masaki. 
Mnaombwa kutuma waandishi wa habari na kwa wale wenye fursa kufika. Good morning.
Lakini baada ya waandishi kufika nyumbani kwake wakakutana na tangazo kuwa kuwa ameahirisha kuzungumza na waandishi hadi hapo itakapo tangazwa tena.
Kitendo hicho kimewakera sana waandishi wa habari.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana