Featured

    Featured Posts

HATIMAYE CHAMA CHA WANANCHI CUF KIMETOA MSIMAMO WAO JUU YA MGOMBEA WA UKAWA, SOMA HAPA=>


Chama cha wananchi CUF leo asubuhi kupitia viongozi wake akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara Mhe. Magdalena Sakaya kimetoa ufafanuzi wakati kikiongea na waandishi wa habari juu ya taarifa zinazoendelea kutapakaa nakutoa  ufafanuzi  wa  mambo yafuatayo

1.CUF wamedhibitisha kuwa hawajajitoa UKAWA.


2.Kuhusu kutohudhuria kikao cha UKAWA jana wamedhibistisha kuwa hawakuhudhuria  kwasababu hawakupewa taarifa za kikao mapema hivyo wakashindwa kuhudhulia,pia kimesema kwa sasa wamekuwa na vikao vinavyojadili kwa upana juu ya namna watakavyogawana madaraka endapo wakishinda uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba

3.Kuhusu UKAWA kuchagua mgombea wa urais wamesema hawamtambui aliyechaguliwa na watakaa wote tarehe 25 mwezi huu kuamua nani atakuwa mgombea wa urais kupitia UKAWA.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana