
katika kikao kinachofanyika mjini dar es salaam katika ukumbi wa colloseum uliopo wilaya ya kinondoni... zimepenyezwa habari kuwa UKAWA wamempitisha Dr.Slaa kugombea Uraisi 2015 kupitia UKAWA. tetesi hizo zinaeleza kwamba sasa hivi wanamalizia taratibu chache na makubaliano mbalimbali kabla ya kufunga kikao na kutoka kutangaza rasmi.

Post a Comment