Featured

    Featured Posts

Nuh Mziwanda Atimkia Kuishi Kwao..Hakai Tena Kwa Shilole...Shilole Afunguka Sababu ..

Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani
umemfanya msanii wa Bongo Fleva,Nuh
Mziwanda kuondoka nyumbani kwa mpenzi
ambaye ni msanii,Shilole ili kumpisha mpenzi
wake afunge kwani hawajafunga ndoa.
Shilole ameyazungumza hayo wakati
akizungumza na Clouds Fm,ratiba yake nzima
ya mapishi kwenye mwezi Mtukufu na kusema
kuwa mwezi huu wa Ramadhani ameacha
kufanya vitu vyote vya starehe na ndiyo maana
hata mpenzi wake Nuh ameondoka nyumbani
kwake ili asiharibu funga yake.
‘’Nuh ameondoka nyumbani kwangu amerudi
kwao ili asiharibu funga yangu,’’alisema Shilole
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana