Kifo cha huyu kijana mdogo (21) aliyekuwa milionare ,kimezua gumzo ya aina yake uko instagram siku ya leo. Hakika msiba wake umewateka watu wengi mno ikiwemo mastaa wa bongo movie na bongo fleva, baadhi ya mastaa walioguswa na msiba huo ni Jokate, Diva, Ommy Dimpoz,Wema Sepetu, Martin Kadinda, Young Dee, Bob Junior na mastaa wengine kibao bila kumsahau baba angu mdogo LEMUTUZ nae aliguswa kama kawaida yake.
Chanzo cha kifo chake inasemekana ni ajali ya gari aliyoipata uko maeneo ya mbezi beach akiwa ndani ya gari lake la kifahar aina Mercedes benz , R.I.P JIMMY japokuwa sikujui
MWENYE KUJUA WASIFU WA MAREHEMU PLEASEEEE ,maana sio kwa kuvunja rekodi kiasi kile, alikuwa anafanya ishu gani mpaka awe maarufu sana especially baada ya kifo chake? maana mbea mie apa nimefeli, matajir wenzie akina lemutuz mje mtupe wasifu wa marehemu. R.IP aiseh, umeenda ukiwa mdogo sana...

Post a Comment