RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI, KIFO CHA KAPT. JOHN KOMBA
“Nimepokea kwa mshtuko mkubwa na huzuni nyingi taarifa za kifo cha ghafla cha Mheshimiwa Kapteni John Komba, ambacho nimejulishwa kuwa kimetokea mchana wa leo, Jumamosi, Februari 28, 2015, kwenye Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam.”
“Kwa hakika, sina maneno ya kutosha kuelezea kwa fasaha hasara ambayo taifa letu na chama chetu kimepata kutokana na kifo cha Kapteni Komba. Taifa letu limepoteza hazina kubwa na mtu muhimu".
Hayo ni maneno ya Rais Kikwete
Post a Comment