Matukio ya majanga ya moto kwa sasa yameendelea kusika kasi jijini Dar es salaam ambapo jana majira ya saa mbili usiku kiwanda kinachochapisha magazeti cha JAMANA PRINTERS GROUP kilichopo Barabara ya pugu kimeungua moto na kuteketeza nusu ya bidhaa za kiwanda hicho baada ya kikosi cha zima moto kufanikiwa kufika kwa wakati eneo la tukio na kuudhibiti moto huo.
Post a Comment