Featured

    Featured Posts

HUYU NDIO MWANAUME ANAYEPATA PERIOD KAMA MWANAMKE, MADAKTARI WASEMA ANAKIZAZI

Chanzo : Udaku Special
Mfanyabiashara mmoja huku Uk Amejikuta kipigwa na Butwaa Baada ya Madaktari kumwambia Kuwa haumwi Cancer Kama alivyokuwa Akifiria Baada ya kila Mara Kupata Haja kubwa na Mkojo zikiwa zimechanganyika na Damu, lakini kumbe ana kizazi na hizo damu anazoona zikitoka kwa njia
ya haja kubwa na mkojo ni pale anapokuwa katika Siku zake za Mwezini Ama Period , Madaktari wamemwambia kwa hali hiyo hata kushika mimba anaweza kama akitokea akitaka, Kwa sasa anajiandaa kwa upasuaji ili kuondoa kizazi hicho
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana