Mvulana mmoja raia wa uingereza amefanyiwa kile madaktari wanasema ni upasuaji wa kwanza wa kupunguza uume wake.
Kijana huyo wa miaka 17 alikuwa akilalamika kwamba uume wake ni mkubwa sana hivyo hakuweza kushiriki tendo la ngono ama hata kushiriki katika michezo swala lililomshinikiza kuomba kupunguzwa uume wake.
Kabla ya kufanyiwa upasuaji huo uume huo ulikuwa na urefu wa inchi 7 na ukubwa wa inchi 10 ukiwa na umbile la puto lililojazwa ama mpira wa 'rugby'...!!!!
Post a Comment