Kila mtu anapenda kuwa mahali penye ulinzi na usalama wa uhakika, kama ndio hivyo basi moja ya sifa ambayo tunatakiwa kuiangalia sana mahali tunapoishi ni ishu ya usalama wa uhakika.
Katika moja ya vitu ambavyo nimeona nikusogezee ujue ni hii ya list ya majiji ambayo ni salama zaidi duniani !
Vigezo ambavyo viliangaliwa hapa ni pamoja na ulinzi wa kisasa (vitu kama CCTV camera, scanners), ulinzi na usalama wa afya za watu, ulinzi na usalama wa miundombinu kama majengo, barabara na usalama wa mtu binafsi.
Watafiti wa The Economist Intelligence Unit wametoa idadi ya majiji hayo 50 salama zaidi duniani kwa kuishi, katika hayo kutoka Afrika ni jiji moja tu limeingia kwenye nafasi ya 47, Johhanesburg Afrika Kusini.
Hapa nimekuwekea haya kumi bora mtu wangu.
Post a Comment