Kijana mmoja ambaye hakufahamika mara moja jina na makazi yake aligongwa na kufa pale pale baada ya pikipiki yake kugongana na Gari kubwa pale Buguruni ,Dar es salam.
AJALI MBAYA BUGURUNI==>>TAFADHARI PICHA ZINATISHA

Post a Comment