Featured

    Featured Posts

AJALI...!!! LORI LA MAFUTA LAPINDUKA LIKIJARIBU KUKWEPA MTOTO



Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro limefanikiwa kudhibiti wananchi waliobeba madumu wakitaka kuiba mafuta baada ya lori la mafuta kuanguna katika eneo la Mikese mkoani Morogoro



Dereva wa lori Deogras John hilo akizungumzia tuki hilo la ajali amesema chanzo cha ajali alikua akijaribu kukwepa mtoto aliekua akivuka barabara ndipo gari ikapoteza mweleko na kupinduka mara kadhaa ambapo wananchi walijitokeza na madumu na kuanza kuiba mafuta. 
Nao wananchi wa eneo la Mikese katika hali iso ya kawaida wamelalamikia jeshi la polisi  kuwazuia kuiba mafuta na kueleza kuwa wamefanya kazi ya kumuokoa dereva kwa kumtoa kwenye gari na hivyo walipaswa kuchukua mafuta kama ujira wao.
 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana