Featured

    Featured Posts

WANAWAKE WAPIGA PICHA ZA UTUPU KUCHANGISHA FEDHA UINGEREZA



Wanawake wakiwa katika pozi kwa ajili ya kuchangiha fedha za East Anglian Air Ambulance. 



...Wakipozi na vifaa vya kuendeshea farasi. 

KUNDI la wanawake wenye umri kati ya miaka 19 mpaka 50 nchini Uingereza limeamua kupiga picha za utupu zitakazotumika kwenye kalenda ikiwa ni mbinu ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa East Anglian Air Ambulance ambao hutoa huduma za dharura za kitabibu kwa kutumia helkopta katika baadhi ya wilaya nchini England. 



Pozi kwa ajili ya mavazi ya mwezi Desemba. 

Price William ndiye rubani wa ndege itakayotumika kutoa huduma hizo za kitabibu katika baadhi ya maeneo nchini England. 



Kundi hilo lina mpango wa kumtumia nakala ya kalenda hizo, PriceWilliam ambazo zitasaidia katika kukusanya fedha zitakazosaidia helkopta hiyo itakayokuwa inaendeshwa na mtoto huyo wa malkia wa Uingereza. 



Wanawake 14 kutoka Huntingdonshire wamekubali kupiga picha za utupu katika pozi tofauti. 



author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana