Featured

    Featured Posts

BREAKING NEWS: WAZIRI ANNA TIBAIJUKA AMEVULIWA RASMI UWAZIRI NA MUHONGO AWEKWA KIPORO

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Anna Tibaijuka ametenguliwa rasmi nafasi yake ya Uwaziri na Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete amesema wamemueleza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka kuachia ngazi ili apate kuteua waziri mwingine.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo, Rais Kikwete amesema huyu amemuweka kwanza kiporo maana bado uchunguzi unafanyika
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana