Mmiliki wa Mattei Lodge enzi za uhai wake.
MMILIKI wa Mattei Lodge iliyopo Area D mkoani Dodoma aliyefahamika kwa jina moja tu la Mattei amefariki dunia katika ajali ya gari jana Jumapili eneo la Pandembili, Kongwa.
Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa kuwa mwendo kasi uliopelekea gari hilo kuligonga gari lingine na kisha kupinduka.
Marehemu Mattei alikuwa na wenzake watatu katika gari ambao walijeruhiwa.
Post a Comment