Featured

    Featured Posts

TAZAMA PICHA ZA KUSIKITISHA SANA JINSI WATU WANAVYOENDELEA KUISHI KWENYE UMASIKINI MKUBWA


Haya  ndiyo  maisha  ya  watanzania  huko  vijijini  hakika  ni  masikitiko  makubwa   kuona  nchi  yenye  utajri  mkubwa  bado  watu  wake  wanaishi  katika  umasikini  mkubwa  sana

hii  ni  nyumba  ya  mtu !!!!! haya yote  yanatokana  umasikini  unaowakabili  watanzania  huko vijijini

tazama  umasikini  huu  kupitia  nyumba  wanayoishi  watu  hawa
kwa  hali  hii  utasikia  viongozi   wanasema  uchumi  unapanda hivi  ni   kweli?

katika  nchi yenye  madini  na  mbuga   za  wanyama   wengi   bado  watu  wake   wanaishi  katika  umasikini  huu  wa  kupindukia   yani  mshangao sana

Hii ndiyo   halisi  ya  watanzania  huko   vijijini wanavyoishi  kwenye  umasikini mkubwa  licha  ya  nchi  yetu  kuwa  tajiri  lakini  watu  wake  ni  masikini   hili  fundisho  kwenu  watanzania  ambao  mmekuwa  mnachagua  viongozi   kwa  mazoea  bila kuangalia  kiongozi  yupi  anaweza  kutusaidia  kuondokana  na  umasikini huu  maana   nchi  yoyote  yenye  viongozi  mafisadi  haiwezi  kuendelea  kabisa  zaidi  kuishia kwenye umasikini
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana