Featured

    Featured Posts

TAZAMA KILICHOMKUTA JAMAA BAADA YA KUGEUZA POMBE NI CHAI

Wengi tunajua pombe ni mbaya haifai kuinywa mpaka ikushinde, jamaa huyu ambaye alikutwa amelala pembezoni mwa barabara huku akiwa hajitambui. Baaba ya kustuliwa alilalamika kuwa kuna watu wenye roho mbaya wamemfanyia mchezo mchafu na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri. Lakini yote hayo ni sababu ya kunywa pombe kupita kiasi. ULEVI NOMA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana