Featured

    Featured Posts

Mchungaji afa akijaribu kutembea kwenye maji kama Yesu..

Mchungaji kutoka Nigeria, Frank Kabele (35)
amesombwa na maji katika mto mmoja nchini
hiyo na kufariki alipojaribu kutembea juu ya maji
kama Yesu.
Kabele aliwaambia waumini wake kuwa
mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza
yeyote ila tu uwe na imani.
Aliwaahidi wafuasi wake kuwa atatembea juu ya
maji pindi tu atakapomaliza maombi yake.
Lakini mambo yalienda ndivyo sivyo baada ya
mchungaji huyo kujaribu kutembea katika mto
mkubwa, alididimia mtoni humo na ilikuwa
vigumu kwa waumini wake kumsaidia kwani maji
yalikuwa na nguvu nyingi na kufariki dunia
Mchungaji kutoka Nigeria, Frank Kabele (35)
amesombwa na maji katika mto mmoja nchini
hiyo na kufariki alipojaribu kutembea juu ya maji
kama Yesu.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana