Featured

    Featured Posts

Kijana mwenye umri wa miaka 25 mwenye kilo 250 ashushwa kwenye ndege

Sande Mrema kijana mwenye umri wa miaka 25 ameshushwa kwenye ndege, kijana huyo ambaye ni mgonjwa alikuwa anaenda India kwa ajili ya matibabu.

Swali la kujuuliza, wako wapi watu wa wizara ya afya? Kwanini kijana huyu amedhalilishwa kiasi hiki?


Naamini mwalimu Nyerere angekuwepo yasingetokea haya yote, ningekuwa mimi ni waziri wa uchukuzi ningefuta leseni ya hilo shirika la ndege lililodhalilisha utu wa mwanadamu.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana