Featured

    Featured Posts

GARI YA CHUO CHA TUMAINI IRINGA ILIVYOPATA AJALI MBAYA NA KUUA

Gari ya Chuo Kikuu cha Iringa zamani Tumaini limepata ajali mbaya na kusababisha vifo vya watu wawili wakati ilipotoka kumpokea Lecturer mgeni (wakujitolea toka Ujerumani).
- Wakiwa wanarudi kuelekea chuoni kuna muendesha baiskeli alikatiza barabara ghafla na katika jitihada za kumkwepa gari ilipoteza muelekeo na kupinduka.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana