Featured

    Featured Posts

ABIRIA WANASADIKIWA KUFARIKI KATIKA AJALI YA BASI LA KAMPUNI YA WIBONELA LILOPINDUKA ASUBUHI KAHAMA

Basi la kampuni ya wibonela lililokuwa likitokea Kahama kuelekea jijini Dar esalaam limepinduka asubuhi hii maeneo ya Phantom kahama baada ya dereva wa basi hilo kushindwa kulimudu basi hilo lilipofika katika kona ya Phantom 
mjini kahama likiwa katika mwendo kasi, bado haijajulikana ni watu wangapi wamepoteza maisha na kujeruhiwa katika ajali hiyo. Taarifa za awali kutoka kwenye tukio ambazo hazijathibitishwa na polisi zinadai watu  wamefariki 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana