Featured

    Featured Posts

MH.TEMBA NA SAID FELLA KUMSOMESHA MTOTO WA Y.P


Msanii kutoka T.M.K Wanaume Family Mh.Temba na Manager wa kundi la T.M.K,Said Fella  wamesema wamejitolea kumsomesha mtoto wa msanii wa kundi la T.M.K Wanaume Family aliyefariki dunia usiku wa kuamkia majuzi,Y.P   Walipokuwa wakiongea na 255 ya kipindi cha  XXL ya Cloudsfm, Wamesema watamsomesha mtoto huyo mwenye Umri wa miaka 7 kwasababu Elimu pekee ndio msingi wa Maisha pia iwapo kuna mtu yoyote ambae yupo tayari kumsaidia wapo tayari kupokea chochote,madaftari,kalamu au sare za shule. Safari ya mwisho ya Y.P iliishia siku juzi kwenye makaburi ya Chang'ombe.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana