Imetimia zaidi ya miaka miwili tangu kukamatwa na baadaye kifo cha Kanali Muammar Gaddafi,
dikteta wa Libya ambaye utawala wake wa miongo kadhaa ulikabiliwa na
umasikini mkubwa vitisho, mauaji ya kikatili kwa raia wasio na hatia na
ugaidi.
Kwa mujibu wa mtandao wa BBC4 documentary, Gaddafi alikuwa na vyumba maalum kwa wafungwa wa ngono katika utawala wake wa miaka 42 ya udikteta.
Mamia ya vijana wasichana kwa wavulana wenye umri kati ya miaka 14 walikuwa watumwa wa ngono kwake.
Taarifa zinasema wengi walikuwa ni wasichana mabikira waliotekwa nyara kutoka shule za sekondari na vyuo vikuu kama Chuo Kikuu cha Tripoli na walikuwa wanapokea maagizo kutoka kwa wasaidizi wa karibu wa Kanali Gaddafi.
Wasichana hao walipimwa kwanza magonjwa ya zinaa (STD) na kisha kupelekwa katika moja ya vyumba maalum kwa kazi ya ngono.
Na inasemekana aliunda jeshi la wanawake tu ambao baadhi yao walilazimishwa kufanya ngono na dikteta huyo.
Gaddafi aliuawa mwezi Oktoba 2011 wakati kiongozi huyo wa zamani anatolewa nje na kuanguka kwenye mtaro wa maji machafu baada ya kupigwa risasi. Kifo chake na damu yake kilimaliza vita ya NATO ya wenyewe kwa wenyewe.
Chumba cha ngono alichotumia Gaddafi mara ya mwisho kilibaki kimefungwa bila kubadilishwa kitu chochote.
Hiki ni kifaa kikamilifu na maalum kilichokuwa kinatumiwa kuangalia magonjwa ya zinaa kwa wasichana wadogo kabla ya kupelekwa kwa Dikteta Gaddafi kwa shughuli ya ngono.

Baadhi ya wanajeshi ambao kati yao walilazimishwa kufanya mapenzi na Gaddafi
Post a Comment