Featured

    Featured Posts

BREAKING NEWS : MSIBA CHUO KIKUU SAUT-TABORA

Happiness William [Enzi ya Uhai Wake]
Tanzia nzito katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Agustino Cha Tabora (Archbishop Mihayo University College of Tabora-AMUCTA). Marehemu (Happiness) aliyekuwa akisomea kozi Uhusiano wa Umma na Masoko katika mwaka wa Tatu (3) amekumbwa na umauti leo hii asubuhi katika hospitali ya Mirambo-Tabora. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na Typhoid pamoja na sickel cell. Imethibitishwa na moja ya mhadhiri wa chuo hicho alipoongea na mtandao huu kwa njia ya simu.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana