Picha unazoona sio utani wala sinema ni raia wa kawaida akiogelea kwenye dimbwi kwa amri ya mwanajeshi.
Raia
huyo alikutana na adhabu kali za mwanajeshi huyo baada ya kukutwa
amevaa mavazi halisi ya jeshi la Tanzania maeneo ya Kariakoo Dar es
Salaam.
Jamaa huyo alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha akaamriwa kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia mazoezi ya hatari ..
Haya mavazi raia wanayapenda ila kwenda kutumikia jeshi hawataki
...ahahaaa jamaa alichokipata hawezi kutamani nguo za rangi ya kombat
maisha yake yote.
Post a Comment